Huu ndio Ushauri wa Nay wa Mitego kwa Mr Blue kwenye wimbo wa Freedom (+Audio)
Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia
stori zote za April 27 2016 ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya
XXL na moja ya Stori ambayo imepata airtime ni hii ya Nay wa Mitego kumpa ushauri Mr.Blue kwenye wimbo wa Freedom.
Ni siku
chache zimepita tangu kutoka kwa video ya Freedom ya Sugu, video ambayo
ameifanya na Director Hanscana, baada ya kutoka nyimbo hiyo kukatokea
utata wa ngoma hiyo ambayo Mr blue akasema ngoma ni yake, sasa leo
kupitia 255 ya Clouds FM Nay wa Mitego amefunguka kuhusiana na ngoma
hiyo nakutaka kumpa idea Mr Blue.
>>>’Blue
angekuwa ni mshikaji wangu ningemshauri na yeye amtoe Sugu alafu kama
inawezekana aniweke mimi kwenye chorus halafu tuharibu hali ya hewa
tutajuana huko mbele ya safari, halafu kama ni hela ya kuifanyia Video
ngoma hii mimi nitalipa hata kwa GodFather au Hanscana‘:-Nay wa Mitego
ConversionConversion EmoticonEmoticon